Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Hili suala ni zuri sana kwa mustakabali wa maendeleo ya makazi na maeneo tunayoishi.
Tatizo limeanzi kwa watu waliopanga kufanya kazi hii.
Hakuna ushirikishwa wa wananchi wa maeneo husika Wala viongozi wao!
Kuna mianya mingi ya watu binafsi kupanga mambo yao kwa manufaa yao.
Mf Kuna maeneo barabara zinapewa majina ambayo hayana uhusiano wowote na eneo husika.
Mtu anaamua yeye peke yake kuipa jina lake hiyo bara Bara wakati hata sio mkazi Wala Hana cheo chochote eneo Hilo.
Tumezoea mitaa au barabara zinapewa majina ya asili ya eneo, mtu maarufu, kiongozi wa eneo.
Sasa hivi hukawii kuona barabara inapewa jina la mtu anaishi mtaa tofauti kabisa na ilipo.
Au wengine wameamua kuzipa bara Bara za mitaa majina wa watoto wao.
Mpaka imefika hatua wananchi wanang'oa hivyo vibao.
Hawayataki hayo majina kwani hawajashirikishwa.
Huu mchakato ushirikishe wananchi, mabalozi na viongozi wengine wa mitaa husika.
Sio watu wachache tu ndio wawe waamuzi wa wengine
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app