Waziri, huyu Afisa nilitarajia yuko ndani kwa sasa kwa kugawa kiwanja kimoja watu wawili. Upigaji unaanzia Wizarani

Waziri, huyu Afisa nilitarajia yuko ndani kwa sasa kwa kugawa kiwanja kimoja watu wawili. Upigaji unaanzia Wizarani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Niliwahi laani sana hawa mapapa wanaopiga viwanja vya watu

Mbaya zaidi ukifwatilia utakuta wizaran kuna wahuni kadhaa wameshiriki kugawa mara ya pili kiwanja kimoja

Leo EATV waziri kafikishiwa malalamiko ya kadhaa akaita maafisa wa ardhi

Akakuta mmoja ameshiriki 💯 kugawa mara ya pili kiwanja kile huku akiwahadaa wenye kiwanja halali nenden mrudi

Waziri hongera kumfukuza kazi na kumkabidhi kwa takukuru

Nashauri anzisha siku maalum kusikilizia malalamiko ya watu wa dar waliopigwa aviwanja

Kukufikia wewe ni shida na mabomu kibao yamekaa katikati kuzuia kukuona kwa wale wenye shida za ardhi huku wakishikishwa na wapigaji ardhi

Tunaombaa hii kitu iishe kabisa hapo wizarani

Nirudie kukupongeza kwa hatua yako pia nisisitize uweze kuwaona wanachi mh waziri

Watu wanalia
 
Safei sana kwa hatua alizochukua mh waziri. Kazi kwa TAKUKURU kuijua chain nzima ya wapigaji kupitia huyo afisa
 
Safei sana kwa hatua alizochukua mh waziri. Kazi kwa TAKUKURU kuijua chain nzima ya wapigaji kupitia huyo afisa
Kabisaa mkuu wamelixaa sana watu hawa mbwa ndoo wanadanganywa gawaa m ntapambana nao mahakamani
 
Back
Top Bottom