johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Si vema watu wakakosa mawasiliano wanapokuwa kwenye shughuli zao wilayani Kisarawe kwa sababu ya matatizo ya network.
Hivyo niwatie moyo mbunge Jafo, DC Joketi na hata yule almaarufu wa hapo Kisarawe ndugu Kingwendu jitahidini kwa pamoja mlimalize tatizo hili kwa sababu minara yote mikubwa iko mlima Kisarawe.
Maendeleo hayana vyama!