johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani alhaj ameshafunga mjadala.Pamoja na hayo lkni Zitto na genge lake ni wapumbavu wakubwa!
Yani mtu kutopatikana kwenye simu masaa kadhaa unakuja kuharisha mitandaoni kwamba katekwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu tatizo ni kubwa!Hili ni tatizo kubwa sana. Mara ya kwanza nafika Kisarawe nikajua ni Tecno yangu inaleta ujinga ila siku zilivyoenda hali ile ile. Wenyeji wakaniambia ni tatizo la muda wote.
Hadi natoka huko hali ilikuwa hivyohivyo.