Waziri Jafo arudishwe TAMISEMI

Waziri Jafo arudishwe TAMISEMI

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,093
Reaction score
1,408
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM.

Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na kuweka mifukoni mwao, bila kupeleka kwenye akaunti husika.

There must be conspiracy somewhere.
#Come back Jafo to TAMISEMI.

Ujinga huo Jafo hangekubali.
 
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halimashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM. Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na kuweka mifukoni mwao, bila kupeleka kwenye akaunti husika. There must be conspiracy somewhere.
#Come back Jafo to TAMMISEM.
Ujinga huo Jafo hangekubali.
Tulia afu andika kwa upole ueleweke
 
Mxiuuuuu! Akafanye nn TAMISEMI? Hata kuongea tu huwa haeleweki anaongea nn, kazi kujiumauma tu. Alipaswa kupigwa chini mazima huyu Jaffo.
 
Japo jafo ni mzalendo kakini akipekekwa huko tamisemi hawezi kubadili kitu kwa sababu rais karuhusu watu kula kwa urefu wa kamba zao na kuishia kuwaambia stupid
 
Huyu raisi hayuko serious, Angela Kairuki waziri TAMISEMI? JAFO hakutakiwa awe waziri alikuwa anamwabudu Magu km Mungu.

Kama siyo JK kwa maana ya kutoka Pwani angekuwa anachezea ndevu. Mama alipokuwa makamu alikuwa anamdharau sana ilikuwa hata haendinaye ziara anamtuma naibu. Mtu anamdharau makamu wa rais?
 
Jafo na TAMISEMI... TAMISEMI na Jafo wapi kwa wapi?
Mazingira yamemshinda atawezaje hilo dubwana
 
Kudhibiti wizi halmashaurini huko kinachotakiwa ni kuboresha ofisi za pccb za huko mawilayani. Wajue kila kinachofanyika ofisi ya mweka hazina wa halmashauri
Fedha yote inayopelekwa halmashauri pccb wapewe taarifa
Takukuru mawilayani wakifanya kazi zao ipasavyo huo wizi huko haufanyiki.
 
PCCB baadhi yao ndio wala rushwa na wameibariki
Yani hao PCCB ndio wameacha kuna uozo kiasi hiki. Tena hiyo taasisi isukwe upya
 
TAMISEMI ni Wizara kubwa yenye Mambo mengi sana inahitaji hekima kuiongoza sio ukali.Huko ndio watekelezaji ilani kwa ukaribu na siasa ndio zinatumika katika maamuzi Mara nyingi kuliko utaalam na kikiharibika kitu kinabadirika kuwa cha Mkurugenzi wakubwa wanajitoa
 
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM.

Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na kuweka mifukoni mwao, bila kupeleka kwenye akaunti husika.

There must be conspiracy somewhere.
#Come back Jafo to TAMISEMI.

Ujinga huo Jafo hangekubali.
Hakuna kitu huyo,Arudishwe Bashungwa sio huyu wa kujiremba hamna kitu anafanya.

Kwanza Toka kaingia mapato ya Halmashauri yameshuka na amefuta ule utaratibu wa miaka yote wa kushindanisha Wakurugenzi kwenye mapato na pia wanaofeli malengo kuwachukulia hatua.

Yupo yupo tuu huyu mtu,Toka enzi za JK anabebwa,Kwa Mwendazake anabebwa nk nk.
 
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM.

Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na kuweka mifukoni mwao, bila kupeleka kwenye akaunti husika.

There must be conspiracy somewhere.
#Come back Jafo to TAMISEMI.

Ujinga huo Jafo hangekubali.
Bilashaka hujawahi kufanya kazi halmashauri wewe ? Wazir anawezaje kudhibiti wizi wa diwani aliyeunda kikundi hewa ili apewe mikopo ya kinamama na vijana
 
Hapo TAMISEMI hata awekwe nani haisaidii.Mfumo mzima umeoza kiuadilifu.Hakuna wa kumfunga paka kengele.
 
Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM.

Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na kuweka mifukoni mwao, bila kupeleka kwenye akaunti husika.

There must be conspiracy somewhere.
#Come back Jafo to TAMISEMI.

Ujinga huo Jafo hangekubali.
1. Jafo:- TAMMISEMI
2. Makonda:- NISHATI
3. Sabaya:- ARDHI
4. Bashiru Alli:- FEDHA
 
Wakurugenzi wa halmashauri ndio wamewapitisha wabunge feki wa ccm wataachaje kula na wao, dawa Ni katiba mpya na serikali za majimbo
 
Back
Top Bottom