Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

Corona si ilishindwa na kuangamia kwa maombi ya gwajima sasa nyungu ya kazi gani?
Usisumbuke achana nao hao, ila wengine tunaona afya zetu ni muhimu mno tutaanza nyungu kuanzia leo. Itakapokuja chanjo kutoka kwa mabeberu tutaendelea na chanjo kwa kwenda mbele.

Sababu hakuna dawa ya kuponyesha Civid 19 popote pale duniani..
 
da!!!, mambo mengine kwa kweli unashindwa kujua hawa jamaa wanatuonaje....

Anasema "hapa korona haina nafasi"....akimaanisha hakuna korona

Hapohapo anatangaza wiki ya kujifukiza....wanasiasa kwa kweli wanacheza na akili za wadanganyika vizuri sana
Ukiona ujumbe una ukakasi ujue haujalengwa wewe ... wamelengwa wapiga kura wake...
 
Mnasema nyungu ushirikina

Yaani mtu kula embe au tangawizi anakuwa mshirikina.

[emoji57]
 
Tanzania haina corona,tulimuomba mungu wa chato ikapotea,kwani nasema uwongo ndgu zangu...[emoji870]tenaa
 
Kinga anapewa ambae haumwi

Nyungu ni kinga dhidi ya Corona kama ambavyo nchi zingine walivyoanza kusukumizana vijiti makalioni kukabili Corona
Kwann tujifukize wakati hatuna korona. Mh waziri unatuchanganya ukiumwa nyumonia dawa yake kujifukiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…