Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

Ila mkuu mwaka jana tulishinda mafanikio dhidi ya corona kwa njia hizi hizi za kupiga nyungu.
 
chanjo ikipita ukiwa ujaitumia utaona motoo. iyo chanjo sio kwaajili ya corona ilio pita tu, new coming one wich twice killer ambayo inakuja kuchambua ambao hawana chanjo na walio nayo sasa kama hauja pata chanjo kifo ni lazima
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Heeee!!! Kwani ipo ... ni ile mpya ya South Africa au ile old version ya Wuhan China

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sinema za Gwala [emoji109] Tena bana saivi wameamua kuzitoa kwa Season na Episode ... CCM mmetisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpaka Gwala ziishe server zitajaa movie kibao ... humo kutakuwa na Horrific, Comedy, Thrillers, True Stories, Actions safari hii mtacheza mpaka Pornography
 
Kwani Season 2 ilikuwa lini au ni kipindi gani mpaka sasa tupo season 3 sinema za CCM bana da!!!
 
Waziri wa serkali za mitaa nchini Tanzania ametangaza awamu ya tatu ya kupiga nyungu na kufanyika kampeni nchi zima kupitia serkaliz za mitaa .imeripot BBC

Kampeni hiyo ya nyumba kwa nyumba itaanza rasmi tarehe 1 .2.2021 nchi nzima na amwataka watanzania kuunga mkono juhudi za serkali kupambana na corona

Uchubguzi wa kijamii na kisayansi umeonesha kuwa corona ilikwisha Tanzania na imekuja tena na aina mpya ya virus ambavyo vilibainika afrika kusini na U.K.

USSR
 
Kwahiyo Ni mwendo wa kupiga nyungu..,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Basi sawa.
 
Hii muvi hairatibiw na ccm IPO chin ya who wao ndio wanasema kuna ya Wuhan,sauz afrika na uk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…