Waziri Jafo hamasisha Halmashauri zako zijitangaze kupitia Wikipedia

Waziri Jafo hamasisha Halmashauri zako zijitangaze kupitia Wikipedia

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Ukipita kwenye wikipedia pages zinazozungumzia miji au maeneo ya wenzetu unajihisi umeshafika. Wanaeleza kila kitu kwa mapana yake.

Historia, jiografia, hali ya hewa, uchumi, siasa, elimu, afya, utalii nk wanaambatanisha na picha za kutosha. Ila hizi za kwetu ni uzembe mtupu. Unakuta mistari miwili au mitatu basi.

Wikipedia ni moja kati ya mitandao inayotembelewa sana na watu. Ukitumika vizuri utaleta manufaa.

Nataka kupajua Katoro maana nasikia ni bonge la centre lakini Wikipedia page yake ya uongo sana. Ingekuwa mbele ningekuta kila kitu.
 
Back
Top Bottom