Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa"Mtu anakuja kwa lengo la uwekezaji lakini sio sifa ile ya uwekezaji anakuja kufanya zile kazi za wazawa"- Dkt Selemani Jafo - Waziri wa Viwanda na Biashara.
Wawekezaji wa kuchimba madini wapo, ila lazima wapitie tume TIC na mamlaka za uchimbaji madini kupata kibali. Kama wanafanya hivyo ni kinyume na sheria na wanastahili kukamatwaMuulizeni wazir je! Mwekezaji anaweza kuwa CHANGUDOA? Mbona kuna madanguro ya wawekezaji?
Anaruhusiwa kununua madini au kuchimba madini? Mbona wachina wananunua huko masaki?
Tuseme serikali haijui????
Sasa upuuzi kwa reference ya nyuma? How about hii ishu? Je ni waziri pekee aliesema kuna viwanda?Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa
Angeulizwa hilo swali ungesikia anasema hadi iundwe tume. 😃😃Muulizeni wazir je! Mwekezaji anaweza kuwa CHANGUDOA? Mbona kuna madanguro ya wawekezaji?
Kwanza ni kutudhalilisha kusema eti kazi za kuchoma mahindi na kufagia barabara ndiyo za wazawa, kwa nini serikali isiseme wachina waje kufagia barabara na kuchoma mahindi kama hawana uwezo wa kufungua kiwanda au biashara kubwa? Ukienda dubai nk utakuta wahindi ndiyo wazibua vyoo, hakuna mzawa anafanya hizo kazi dhalili, kwetu sisi imekuwa sifa ya haki kabisa eti kazi za kuchoma mahindi barabarani ni haki ya wazawa!!kabla ujio wa hao wachina hizo kazi mnazoita za wazawa hao mnaowatetea hizo kazi wanazidharau hawataki kuzifanya..wamekuja wachina wanazifanya tunawaona kama wanafaidi sana na wanatuzibia rizki kana kwamba maeneo ya kufanya hizo kazi yameisha wakati nchi kubwa hii mchina kaweka biashara hapa na ww kaweke mtaa wa pili badala yake tunalia eti ooh hizo ni biashara za wazawa wakati hamjakatazwa kufanya hizo biashara ni ww na mtaji wako tu..hii inaonesha watanzania wengi tuna wivu na roho mbaya tusiopenda mafanikio ya wengine yaani ukifeli ww utataka na wengine washindwe kama ww badala ya kujifunza kwake unataka umshushe mavumbini tumejaa ubinafsi uchoyo tu..mchina kaweka biashara kushoto na ww mzawa weka kulia na sio eti kujificha kwenye uzawa kwani hata tukiachiwa hizo kazi tutaendelea kulala usingizi wa pono kama kawaida yetu na kuendelea kusagia kunguni waliofaninikiwa.!
Kweli huyu ni mpuuzi sana! Anapoingia km mwekezaji hawaangalii mtaji wake? Wapumbavu TU! Wanahangaika kuiba Kura TU huku nchi inanajisiwa TU!Hakuna waziri mpuuzi kama, huyu, kipindi chs jiwe,alituambia kila mkoa una viwanda kibao, cherehani tatu ni kiwanda, na upuuzi mwingine, sasa, hivyo viwanda viajiri hawa vijana! Shenzi kabisa