Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

Hii inatisha kuona DED na mkuu wa wilay wakitengeneza timu ya kuwadhulumu wananchi kama siyo kuwapora. Hawa ni majambazi na wezi pamoja na hao waliotajwa hapo hawatakiwi kuwa kkwenye ofisi za umma
Wanaiga kwa Ma Role Model wao ngazi za juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…