Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kampuni hii ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) inamilikiwa na Serikali kwa asilimia mia moja na ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Soma Pia:
- Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF
- Waziri Jerry Silaa amteua Mhandisi Mwasalyanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)