Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma Na. 2 ya mwaka 1992 ameivunja Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) kuanzia tarehe 18 Septemba, 2024.