Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima.
Migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo ambalo limeanzishwa na serikali kuruhusu kuwa nchi ya wachungaji badala ya wafugaji.
Ubabe wa wafugaji hasa upigaji, uuaji wakulima ni swali lipo kila mahali.Ukienda Kilosa utaikuta kesi ya kijiji cha Mfulu na Mabwegere, Tindiga, Kimamba, Madoto na vinginevyo.
Wafugaji wanafanya watakacho na wanautumia ukwasi wao kupenya kwenye mifumo ya haki jinai.
Nakushauri usiunde tume bali simamia sheria na kanuni ambazo zipo wazi.Hakuna mkulima anayeweza kuvamia kijiji cha wafugaji, atauawa!
Hawa watu kila wakati wanalia kuwa wao ni minority na wanaonewa lakini ni mafioso.