NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Habari waungwana!
Leo katika pitapita zangu mitaa ya jimbo la Ukonga, nimekutana na mjadala unaohusu ardhi na utoaji hati miliki za ardhi kwa urasimu.
Nilipotaka kujua kulikoni tena nyumbani kwa Mheshimiwa, jibu nililopewa ni kuwa maagizo na mikwala yote tuinayo kwenye televisheni aitoayo, jimboni kwake hali ni mbaya sana.
Walienda mbali na kusema "kila wanapompelekea kero jibu lake Mheshimiwa Slaa ni kuwa yeye anafanya kazi nchi nzima sio Ukonga tu."
Hivyo wanauliza kwa yale wanaoyaona maeneo mengine ukitatua, Kwanini kwako hautatui?