KERO Waziri Juma Aweso atoke hadharani na kusema kwanini Ubungo mpaka Kimara maji ni shida

KERO Waziri Juma Aweso atoke hadharani na kusema kwanini Ubungo mpaka Kimara maji ni shida

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi wa pili huu.

Ukicheki Leo 2024 Bado maji ni shida Ila Waziri yupo naibu wake yupo wanachofanya ni sifuri.

Hizi ni reflection za kushindwa kuleta impact positive kwenye maendeleo. Na option hapo ni Waziri na naibu wake wangetimuliwa Kwa sababu hakuna anachokifanya.

Pia soma:
 
Ukizingatia kuwa hili Jimbo la Ubungo ndilo eneo ambalo serikali tawala inahaha kuhakikisha wanashinda kwenye vinyang'anyiro vya uchaguzi, wakazi wa Kimara tulishasahau hizi adha za shida ya maji,...too bad ni kuwa yanakatwa bila taarifa Wala sababu yoyote ya msingi
 
Back
Top Bottom