Kwema,
jamani wanajukwaa huyu waziri aliyetangaza watu wenye vyombo vya moto kutumia Barabara za mwenďokasi kaleta balaa ingawa yeye alimaanisha Barabara zile ambazo hazijaanza kutümika.
Kama kawaida ya Wabongo kupindua vitu kichwa chini miguu juu kumekuwa na matumizi holela ya hizi barabara kuanzia Posta mpaka Kimara.
Sasa hivi imekuwa vurugu kila menus gari lake sasa hivi ni mwendo wa kuteleza tu na mwendokasi road hivyo tunakutaka muheshiwa uje utengue lile tamko lako kwani sisi wengine tunapanda haya magari kukimbia foleni ila tunachokutana nacho ni sawa hakuna tulichokwepa.
Tatizo hili lipo sana maeneo ya makutano ya Barabara za mwendokasi na zile za kawaida imeshakuwa ni Too much sasa hadi Daladala zinachomekea kwenye hizi njia mpaka kero hasa maeneo ya kuanzia Baruti kwenda Kimara.
Tunakuomba chonde chonde Muheshiwa tengua ile kauli yako na tabia hii mara nyingi ni Usiku ndipo utakutana na Adha hii na kama umo humu jukwaani tunaomba lifanyie kazi jambo hili Nimemaliza kazi njema ndugu Waziri.