Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #41
Kabaridi,NI wengi hata kwenye ODM wako kwenye msafara WA kuiaga dunia. Kwa mfano Anyang nyongo NA wenziwe kama mkereketwa wa chama cha URP Sirus Jirongo.
I feel sorry for this lady though it does not remove the fact that she is to blame. She was neither raped nor was she a little girl when she was approached. She should have asked herself a lot of questions before engaging in a relationship with a government minister.
Huyo waziri anafanana na Dk Slaa!
Ab-Titchaz, unajua wengi wa hawa viongozi wetu wanaugua kwa mfano, Kimunya, Anyang, nyongo, Kabogo wa juja, Sirus Jirongo na Fulusi za YFK92 hawa ni baadhi ya viongozi wachache ambao wako katika msafara.Kabaridi,
Now that is out cold bra!...si I thought Anyang Nyongo ana Cancer ama that's meant to be the cover up?
God forbid!...Kisha Jirongo niaje tena?...Pesa ya Y2K haikusaidia huyu mtu ama that money is what has
gotten him that baggage?
Kazi ipo aisee!
Wabunge wetu wote wapimwe na majibu yawekwe hadharani.
Kwi kwi kwi teh teh teh!