Wakati Dr. Kigwangala akiwa Naibu Waziri wa Afya alituambia ni mwiko kutangaza huduma za afya kupitia vyombo vya habari. Akamfungia Dr. Mwaka kwa sababu hizo hizo za kutangaza huduma za afya ambazo ni mwiko kutangaza sio Tanzania tu bali duniani kote huwa iko hivyo.
Cha kushangaza kuna hospitali inaitwa Uhuru hospital inajitangaza kupitia Clouds Fiesta 2019. Wizara ya afya haikuliona hili kuwa ni mwiko kama alivyosema Kigwangala?