Mkuu sikukupangia wala sina uwezo wa kukupangia, mimi ni mtu ninaeamini haki ya mtu kuwa na uwezo wa kuamua na kuchagua anachokitaka.Tatizo unatumia hasira,
Hakuna dhambi kwangu kuipenda ccm
Na sidhani kama ni haki yako kunipangia cha kujibu mkuu
waliotoa vibali hivyo wapo tu wanakula gawio laoHili limekaa vizuri. Mikataba ya kikoloni au kimangungu haina nafasi tena.
Lakini approach iwe tofauti. Wakae nao na kuwaeleza ukweli huo
Huyo si ni Bwn Ndolanga na Mhs Kinana??
Wafadhiri wakubwa wataguswa??
Hivi huu mtataba uliingiwa wakati wa 'sultani yupi'??Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Kwa hiyo nami nikisema tukivunja mkataba huu itatugharimu nitakuwa mchochezi? Huoni wachochezi ni wale walioingia mkataba huu?Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Kwa hili, nampongeza Kigwangala! Nilidhani na huyu nae mtamwogopa kama wengine walivyomwogopa! Ila ongeza Ulinzi wako, kwa ufahamu wangu mdogo tu kuhusu huyo Mwarabu (MwanaMfalme wa Abudhabi) syndicate aliyonayo kwenye Idara Nyeti za hii nchi, hususani katika Wizara yako, sii mtu mzuri!Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Nalo jambo hiliSijaelewa kuhus ugawaji wa vitalu, wanataka vigawiwe kwa wazawa tu au ?
au ndio anawabeep ili wamletee bahasha yake ?
Walioingia kwenye hiyo mikataba ni hao hao ambao leo wanatoa matamko. Kwa miaka yote hii zaidi ya 50 ambao ni hao hao hawakuyaona hayo.? Leo with no guts unasema wanakupigania.?Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Nani aliuza nchi yetu na kwa kibali gani?? Na jinsi gani ya kuzui ya vitu Kama hivi??Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Eti Wananchi hawakuwepo? You must be sick kwakweli! Wamaasai wapo Loliondo, na Ngorongoro kwa Ujumla wake Enzi na Enzi kabla babu yake babu wa Babu yako hajatoka kwenye viuno vya Mzazi wake! Acheni kupotosha Historia ili kujustify uwendawazimu uliofanywa na CHAMA CHA MAJAMBAZI ya Rasilimali za Nchi!Ninavo fahamu hawa jamaa akishuka tu KIA wanalipa landing charges na pia wanalipa landing charges za loliondo strip.
Na wakifika hulipa Tanapa sio chini ya $100,000 kila trip
Loliondo yenyewe wanalipa land taxes.
Wamewekeza visima vya maji kila kilomita moja ukitoka ndani eneo
Tuache uchoyo....hao watu wa vijiji hawakuwepo mpaka walipo shawishiwa na wana siasa ambao wanalitaka wao hilo eneo kwa faida binafsi zaidi
Mkuu, kwa uelewa wangu hakuna MTU hata mmoja anayepinga hatua zinazofanywa na serikali za kurejesha raslimali zilizokuwa zimeporwa kwa kutumia mikataba isiyokuwa na tija. Tunachoshauri muda wote ni kwamba ziko taratibu za kisheria ambazo zinatakiwa kufuatwa ili kuongoza utaratibu mzima wa kuvunja mikataba mibovu. Kinacho pigiwa kelele ni utaratibu wa kibabe usiokuwa na hata chembe ya kistaarabu unaotumiwa na watawala wetu. Utaratibu huu wa kibabe unaweza kupelekea nchi kuadhibiwa kisheria na atakayelipa adhabu hii ni mwananchi maskini.Nachoshangaa na kinanisikitisha sana ni kuona watu wakipinga jitihada za kumkomboa mtanzania mnyonge, na hao wanaopinga ni vijana watz tena wasomi, then baada ya siku utawasikia wakitaka kugombea nafas za uongoz , na wakipata nyazifa hawana msaada wowote kwa serkal ili kurudisha mali zilizobiafsishwa kwa mikataba mibovu au ardh na viwanda visivyoendelezwa, utaskia wakibwabwaja tu ooohhh sheria ya mkataba itatufungs, ooohh sheria ya mkataba tutalipa pesa nyingi, ivi hiyo sheria ya mikataba inaruhusu mwenyemali aibiwe na kumlinda mwizi/ mnyanyasaji. Tusiwe na mihemko isiyo na tija. Penye ukwel tuitetee tanzania yetu.
Amemfutilia mbali Dr.MwakaHivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
bora umeuliza mkuu....Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
Bora wewe unalijua hilo na hivyo ndivyo wa tz tunapaswa tuwe mkuuMkuu sikukupangia wala sina uwezo wa kukupangia, mimi ni mtu ninaeamini haki ya mtu kuwa na uwezo wa kuamua na kuchagua anachokitaka.
Hilo hapo juu ni swali....,mimi mwenzako sina chama ninachokipenda,mimi napenda sera za chama sio chama,,,kwa maana hiyo naweza kubadilika nikaipa kura yangu chama chochote nichoona kina sera nzuri kwa wakati husika...
Wewe ni mjinga ndio hata leo mkoloni akiija utampigia magotiuzalendo siyo kufanyaambo kijinga. Siwezi kuunga mkono. Hawa wako kihalali. Serikali iliwapa kihalali. Mtawalipa mahela ya miaka 99