Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Baada ya muda tutayasikia ya Bomba-Dear huko Canada.
Maj- aliwa mpaka kawa mwwnyeji huko Canada
 
Ni kweli kabisa hawa waarabu wa Loliondo ni washenzi sana.

Kwa hili NAMUUNGA MKONO waziri Kigwangala.

lakini yasiishie kwenye maneno tu...tunatamani vitendo vitawale. Waondoke hawa Maaluni.
 
Kwa tamko hili lazima apongezwe sasa tuone kama utekelezaji wake utakamilika haraka iwezekanavyo.
BAK cjawah ona unapongeza ila hapa tu

Itakuwa unatokea Loliondo[emoji23]
 
Mikataba ilisukwa kitambo awamu ya pili akina mzee mwinyi na kinana ndiyo vinara hadi leo wanapiga hela na mwarabu anataka kuongeza eneo kama umesikia wamasai wanafukuzwa loliondo ni kwa mkono wa mwarabu huyo anaetokea kwenye koo ya kifalme...
 
Taratibu za kisheria za kuwaondoa zifuatwe.... Vinginevyo haya matamko ya kisiasa yatatuletea gharama zisizo na msingi
 
hawa watu wamepata vibari kutoka kwenye serikali kufukuza tu na wana hati miliki sio kitu kidogo , tunarudi kwenye azimio la Arusha inavyoonekana
Usichanganye mambo kwa kukosa uelewa wa unachokizungumzia. Unajionyesha kuwa na upungufu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…