Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Sio walimu ni wafanyakazi wote Tanzania ......m
 
Makonda ni Kama mlima Kilimanjaro hamtomueza ccm ni Ile Ile
 
Kuna watu watafaidi aisee jamaa ana mtako halafu unaonekan mlaini laini
 
Nidham.za woga.zitawatafuna ana.alipokuwa akihudum.selikalin hakuwa mkifanya kazi mapusha wameka.msukumo hapa si bure
 
Waziri kwani ww hujui jamaa ni jambazi linalitamba mtaani

?? Wapi Ben? Wapi Azory..wapi marisasi ya Lissu?
 
Mamaaaae
 
I hope ni fake news vinginevyo wanamapinduzi tutajua kwa uhakika sasa tunakabiliwa na kitu gani mbele yetu. Tena tutazidi kuona mpendwa wetu alihujumiwa maisha na wapinga maendeleo 5th column
 
Wamchunguze kama alivunja sheria apandishwe kizimbani kujibu mashtaka! Mahakama ndio itaamua kama ana hatia ama la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…