Waziri Kivuli wa Afya Fuatilia, Maosipitali Hayana Chanjo za Polio

Waziri Kivuli wa Afya Fuatilia, Maosipitali Hayana Chanjo za Polio

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Huwa kila siku tunaimba hapa kuwa serikali yetu ni dhaifu kupita maelezo lakini wengine wanabisha.

Huwezi kuamini matone ya chanjo ya polio maosipitali kwa sasa hakuna. Watoto waliozaliwa siku za karibuni wana hatari kubwa sana ya kukumbwa na polio. Hiki ni kitu cha mwisho serikali inaweza kukosa. Wazazi wengi sasa wanahangaika hawajui wafanyeje.

Chadema kupitia waziri kivuli chunguza habari hii na chukua hatua haraka kwa kuzungumza na umma kuhusu udhaifu huu pamoja na kutoa taaarifa WHO maana tutapata janga la kitaifa kama hali hii haitashughulikiwa haraka.

Source: Marafiki zangu wenye watoto waliozaliwa karibini, hata Muhimbili hakuna matone
 
Back
Top Bottom