wewe ulisikia nini?
Wachunguzeni Mawaziri wote. Mtakuta hali ni hiyohiyo. Uwaziri ni dili bwana. Asikudanganye mtu.
Na umdhaniae ndie siye!Huyu mama yaani huwezi kumdhania!
Wachunguzeni Mawaziri wote. Mtakuta hali ni hiyohiyo. Uwaziri ni dili bwana. Asikudanganye mtu.
SMU,Huyu mama yaani huwezi kumdhania!
Tumeyasema sana humu. Sema huu ni mfumo uliokomaa sana. Ulianzishwa na CCM kuchangiwa na taasisi za UMMA. Hamjawahi kushtukia utajiri mawaziri wetu unatokana na nini muda mfupi baada kushika nyadhifa hizi? Mchezo huu pia unazikumba PCCB, TISS ndio maana ni vigumu mno kuudhibiti.Ohh..naona mnakumbuka shuka usubuhi..Ndo maana kila siku nasema humu, wadanganyika wengi mnategemea kuvuna madafu kwa kupanda chelewa.
Kaaz kwelikweli.