Mamaaaa; Mkuu nisamehe bureeee, kumbeeee . . . Jamani mambo mengine hadi tunasahau . . . ..
Wakimfuatilia sana atasema 'wanamwonea kwa sababu yeye ni mwanamke'!
Superman huyu Kubenea toka atunge story ya Mwakalinga mm siku hizi namchukulia poa tu.
Kwa hapa atakuwa katengeneza nayo utaona huyo mama hajahojiwa ngoja niipitie.
Sina hisa naye Fidel80 lakini mnamuonea tu . . . . LOL
Hata mahakama haijasema, mnamuonea tu Mkuu, hata Chenge, Lowassa, Rostam nk. wote mnawaonea . . . mahakama hazijawahukumu ati . . . .
Hata hoja ya mgombea binafsi pia mnalazimisha . . . Mahakama ya Rufaa bado haijaamua . . . . . haaa haaa . . .
Tanzania zaidi ya uijuavyo . . . . lakini mambo ni shwari tu, AMANI, MSHIKAMANO NA UTULIVU . . . . Karibuni Wawekezaji.
Celina Kombani....
Aibu kubwa sana Waziri Mkuu anaenda kufukuza watumishi kazi halmashauri wakati waziri mhusika hata hajawahi kuagiza ufanyike uchunguzi,kumbe anafaidika na wizi huo. Ndiyo maana polisi wamelivamia suala la Jerry wamzime.
Huyu mama yaani huwezi kumdhania!
Huyu mama yaani huwezi kumdhania!
Hata hivyo uwaziri munafahamu alivyoupata??
Unaweza saidia jukwaa kujua?
Mama Kombani Kiboko alifiwa na mama yake Dar akachukua ambulance ya wagonjwa Temeke na Magari kibao ya serikali kupeleka Msiba Mahenge!
Say Whaaaaaat??????????????!!!!!!!!!!!!!
Sasa huo mzoga wake tena unaingizwa kwenye ambulance jamani? Au unamsingizia mwana wa mwanaume mwenzio????
Kweli Tanzania ni TAMBARALE.