Waziri Kombani Ndani Ya Sakata La Jerry Muro

Hii ndio Tanzania hivyo ndio maana kuna haja kubwa sana kuwa na usalama wa Taifa ulio imara na uchunguzi imara sana katika kila idara katika Taifa letu
 
Kama ni kweli, ndani ya CCM hamna asiye msafi. hata Pinda amelidhihirisha hilo kwa aliyoyatamka Igunga.
mkuu ni vigumu sana kupata nguo safi kwenye rundo la nguo chafu.

ccm ni sawa sawa rundo la nguo chafu.
 
mwenye macho haambiwi tazama sophia simba aliwaeleza kweli kuwa hakuna aliye msafi miongoni mwao hata wale waliojifanya kukemea ufisadi wakamwona mbay sasa wanumbuka mmoja baada ya mwingine
 
Ninachoshangaa ni kwa nini Waziri Mkuu alimsimamisha kazi yule counsellor wa Bagamoyo na kumwacha huyu mama anatamba. She had to go too na nina hakika waziri mkuu anao ushahidi wa ulafi wake.

Waziri Mkuu hana nguvu ya kumwajibisha Waziri mwingine yoyote.. ndugu yangu. Si umeyaona ya Raila na Mwai Kibaki kwa watani zetu kule?
 
Mmh jamani sasa nani SISIEMU msafi??? Najua watu wataanza kuhoji vipi Dr. Shein...........Heri mimi sijasema.......chupwiiii...chhiiiiiii
 
Mama ANNA MKAPA KATAJWA KILA KONA KIWIRA,EPA NA KAGERA SUGAR.NI FISADI MKUBWA MAMA MKAPA AU HUJUI HILO?

PIA LAZIM A UKUMBUKE KUWA YULE MHASIBU WA BAGAMOYO ANAMILIKI MAGHOROFA NA HOTELI MKOANI MOROGORO.MAMA KOMBANI KAKULIA KWA WAFANYABIASHARA HATA WALE WA MADINI WALIOULIWA WALIKUWA JAMAA ZAKE. HIVYO ANAIJUA PESA.
 


Mmmh! Hapa ndipo penye Subira kwa Watanzania!

Mhasibu tu aliyekuwa mtumishi wa umma ana maghorofa na Hotel na yuko connected na CK.

We hope PCCB na UWT wanafuatilia data hizi ili kubaini kama kuna ukweli wowote.

Hata hivyo sitashangaa kama atasave na kutoka kifua mbele kama Mzee V.G. Cent
 
Hapo polisi wanaonyesha wanataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja: kulipa kisasi kwa Muro mwenyewe kwa kuwafichua askari wa usalama barabarani na kwa huyo waziri ambaye ni chanzo cha aibu ya jeshi la polisi katika mauaji ya wafanyabviashara wa wialya ya Ulanga yaliyomuhusisha Zombe.
 
Sijui atagombea tena uchaguzi huu? kwani mali za mhasibu ziko Morogoro kwa mama CK.
 
Sijui atagombea tena uchaguzi huu? kwani mali za mhasibu ziko Morogoro kwa mama CK.

Nafikiri hapo ulitakiwa kuainisha na kwenda ndani zaidi ya just Morogoro. Kwani yeye ni mbunge wa Morogoro? Kwanini usitaje jimbo lake la uchaguzi in that regard ili? Unaposema hotel zipo morogoro unamaanisha wilaya/jimbo gani? I say so because kugombea ubunge kunafanyika kwenye majimbo na sio Morogoro kama mkoa.
 
Halafu kuna taasisi inasema imefanya tafiti zake na kuwa zaidi ya 70% ya waliotoa maoni wanasema wanaimani na serikali ya CCM ambayo inaongozwa na mawaziri wa aina hii. Mirembe Hospital ipanuliwe maana wengi tunahitaji kupelekwa huko kupimwa.


Mkuu ni kichekesho, taasisi hiyo inasema iliwahoji watu 2000 ndio ikaja na majibu hayo. Sasa hiyo sample aliyochukua haitoshi kuwakilisha mawazo ya watanzania wapatao million 40. Kuna kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…