Pre GE2025 Waziri Lukuvi atembea ofisi za ACT Wazalendo; Asema chaguzi zitakazofanyika wakati wa utawala wa Rais Samia zitakuwa zenye heshima, huru na haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
J
Je hawataenda maporini ?
 
Badala ya kungojea uchaguzi ujao, tuambiwe kama chaguzi zilizofanyika chini ya urais wa Samia zilikuwa huru. Inabidi ACT-WAZALENDO waseme maana wamekuwa wakishiriki katika chaguzi zote.

Amandla...
 
Hakuna uchaguzi hapo
Matokeo tayari mnayo
Mfukoni

Ova
 
CCM _A na CCM B. Katika ubora wao.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…