Waziri Lukuvi aunga mkono matumizi ya nishati safi ya kupikia, atoa mitungi ya gesi kwa vijana

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani.

Waziri ametoa majiko hayo kwa washindi wa nafasi ya kwanza, nafasi ya pili na ya tatu wakati alipotembelea kata ya Mlenge Mkoani Iringa tarehe 29/09/2024 katika ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo katika vijiji vya Magombwe, Isele, Kinyika na Kisanga vilivyopo katika kata ya Mlenge
1727698109338-png.3111183

“Majiko 1200 yanatarajiwa kutolewa kwa washindi wa mpira wa miguu kwa kata zote za jimbo la Isimani ikiwa ni jitihada za kumuunga mkono Mhe, Rais Dkt, Samia Suluhu Hassani katika kutumia nishati safi ya kupikia,” alisema Waziri Lukuvi.

Pia, Soma: Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga asema "Nishati safi ya kupikia inabeba Ajenda ya Mazingira"

Katika hatua Nyingine Waziri Lukuvi, ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa ili kuendelea kuunga mkono serikali utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa.

Ameongeza kusema utakapofika muda wa uandikishaji kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, naomba vijana wenye umri wa miaka 18 na kuendelea mjitokeze kujiandikisha uchaguzi wa Mwakani muweze kupiga kura.

Soma: Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa
 
Attachments

  • 1727698109338.png
    1727698109338.png
    2.7 MB · Views: 10
Umeme, hasa wa kutoka vyanzo safi kama maji ndiyo nishati safi pekee. Tuendelee kuongeza uzalishaji na usambazaji huku tukipunguza bei.
 
Gesi inapanda bei. Kuunga mkono sio kugawa majiko ya bure ambayo yakiishiwa gesi yatatakiwa kujazwa kwa bei ghali. Bali kuunga mkono ni kupunguza gharama za umeme na gesi huku tukipunguza kodi kwenye vifaa tajwa.

Hii nchi ni chaneli ya vichekesho huko kwa Sir God. Malaika wakochoka wanaangalia kurefres akili. Haiwezekani nchi ina sheria kabisa ya kwamba ,kila jumatano ya kwanza ya mwezi lazima kuwe na bei mpya ya mafuta wakati meli za mizigo zinatumia zaidi ya miezi mitatu kutoka starting point hadi kufika destination ambayoni Tanzania.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani.

Waziri ametoa majiko hayo kwa washindi wa nafasi ya kwanza, nafasi ya pili na ya tatu wakati alipotembelea kata ya Mlenge Mkoani Iringa tarehe 29/09/2024 katika ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo katika vijiji vya Magombwe, Isele, Kinyika na Kisanga vilivyopo katika kata ya Mlenge
1727698109338-png.3111183

“Majiko 1200 yanatarajiwa kutolewa kwa washindi wa mpira wa miguu kwa kata zote za jimbo la Isimani ikiwa ni jitihada za kumuunga mkono Mhe, Rais Dkt, Samia Suluhu Hassani katika kutumia nishati safi ya kupikia,” alisema Waziri Lukuvi.

Pia, Soma: Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga asema "Nishati safi ya kupikia inabeba Ajenda ya Mazingira"

Katika hatua Nyingine Waziri Lukuvi, ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa ili kuendelea kuunga mkono serikali utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa.

Ameongeza kusema utakapofika muda wa uandikishaji kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, naomba vijana wenye umri wa miaka 18 na kuendelea mjitokeze kujiandikisha uchaguzi wa Mwakani muweze kupiga kura.

Soma: Rais Samia Ameibeba Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Kimataifa

View: https://x.com/iamwangdamin/status/1840733146892935543
 
Hivi hao wapiga kura wa Isimani hawaoni mtu mwingine zaidi ya huyo jamaa?
 
AGIZA GESI YA KUPIKIA HAPOHAPO ULIPO USIONDOKE KAA HAPOHAPO MTAANI KWAKO
Gesi zote zipo: Oryx Gas, Taifa Gas, Manjis Gas, O-Gas, Total Gas, Mihan Gas, na Puma Gas: zote zinapatikana hapo
 
Hivi hawa hawajui kwa vijijini mpaka dakika hii hio gesi ni gharama kuliko umeme au wanafanya siasa au wana hisa kwenye hizo gesi ?

Hata kama wana Hisa huo ni ulafi sababu hizo gesi tunaagiza kutoka nje kwa kutumia pesa ambayo huenda tungeagizia madawa...

Back
Top Bottom