Waziri Lukuvi, huku Idara ya Ardhi hakujakaa sawa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tunaomba platform ambapo tunaweza kukutonya nini kinaendelela nyumbani kwako idara ya ardhi.

Kuna madudu yanafanyika yanahitaji uyaingilie Kati. Kumeoza, needs your intervention.
 
Hiyo wizara hata JK alisema ilimshinda enzi zake akamkabidhi Magufuli.
 
Lukuvi anatafuta attention ya vyombo vya habari aonekane anafanya kazi kiukweli hii wizara imeoza
 
Lukuvi hii Wzara imemshinda kabisa.

Binafsi huyu ni Mmoja Kati ya Mawaziri wa hovyo kabisa.
 
Tunaomba platform ambapo tunaweza kukutonya nini kinaendelela nyumbani kwako idara ya ardhi.

Kuna madudu yanafanyika yanahitaji uyaingilie Kati. Kumeoza, needs your intervention.

Hii wizara rushwa haitakaa iishe itoshe kusema tu lukuvi imemshinda hii Wizara kama ilivyo kwa jeshi la polisi, inatakiwa ivunjwe na kuundwa upya
 
Maamuzi magumu kama haya aliyafanya mwendazake tu.. alivunja cda dodoma,.akavunja ppf, lapf, akavunja jiji
 
Back
Top Bottom