Waziri Lukuvi kwanini hati za watu halali kabisa lakini kupata mpaka kutoa hongo (hasa mikoani)?

Waziri Lukuvi kwanini hati za watu halali kabisa lakini kupata mpaka kutoa hongo (hasa mikoani)?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mh. Lukuvi, nianze kwa kukupongeza kwa kazi nzuri mkuu.

Kumekuwa na hili suala sugu kama sio ugonkwa sugu wizara yetu, wapo wengi wanalipa kila kitu kupata hati zao wanatajiwa wahonge pesa kubwa, shida nini zaidi?

Unaweza kufanya uchunguzi wako binafsi; utajiridhisha na hiki nachoandika.

Hati za viwanja zimekuwa kama madini. Umekamilisha kila kitu bado unambiwa jiongeze hasa hii mikoa.

Dar
Arusha
Moshi
Mwanza. Ni mikoa hatari sana

Ushauri wangu: Kama Moshi vijana wengi wanakaa zaidi ya miaka minne hili sijambo jema wanapozoea ofisi unakuta wanajiamini kufanya uchafu wowote.

Waziri Lukuvi najua unapambana baba kila kona mpaka raha swala la hati naomba ulivalie njuga.

Wafanyakazi wabadilishwe mara kwa mara kupunguza rushwa na mambo ya kujiongeza.
 
Back
Top Bottom