Waziri Lukuvi rejea maagizo yako ulioyaaacha Kivule

pacoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
650
Reaction score
414
Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi wametozwa hela zaidi(mara mbili zaidi) kinyume na maagizo ya serikali.

Ulitoa tamko kali, kuwa wale wote waliotoa hela zaidi ya 150,000/= Warudishiwe hela, lkn mpaka sasa hazijarudi.

Tunaomba sheria ichukue mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…