comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Kutokana na jaribio la kutaka kusitisha operation maalumu leo operation hiyo ilifanikiwa kukamata meno 50 ya tembo sawa na tembo 25 vilevile kukamatwa kwa jangili sugu Mpemba iliopelekea Mh Rais afanye ziara ya ghafla. Kwann Waziri alitaka kusitisha zoezi hilo na leo hii kamsimamisha kazi mhifadhi mkuu wa pori la burigi kagera kisa kukamata mifugo ndani ya Hifadhi ni dhahiri mheshimiwa Waziri ana mikono yake kwa majangili hivyo hatapona katika utumishi wake