Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

Tanesco inatoa huduma kwa jamii na sio biashara mkiweka hivo ijiendeshe kibiadhara si ndio gharama za umeme zitazidi. Tanesco inahitaji mifumo mipya ya kiutendaji kusaidia utendaji wake uwe rahisi kwa wananchi wengi
 
Tanesco inatoa huduma kwa jamii na sio biashara mkiweka hivo ijiendeshe kibiadhara si ndio gharama za umeme zitazidi. Tanesco inahitaji mifumo mipya ya kiutendaji kusaidia utendaji wake uwe rahisi kwa wananchi wengi
Labda ni huyu mtoto!?

 

Hivi Mashirika Mengine yalio chini ya Hii Wizara ya Nishati hayastahili kuwa na Bodi?
Cc: january Makamba [USER=602083]Meneja Wa Makampuni [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji30][emoji12]
 
We binadamu unatuona sisi wananchi wajinga kweli. Mpelekee Kigogo propaganda zako za kitoto. Energy independence ya Tanzania inachezewa wewe huoni.
 
Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru waliotumbuliwa na mwendazake sasa wamerudi mchezoni.
 
Huyu waziri anaweza asidumu sana.

Kwanza anaharufu ya kuutka urais 2025 wakati wanawake nao wanautaka.

Pili anaongea sana yaleyale kila siku mpya mpya sijui mpya ndio nini.
 

Kwenye hili hata kama nilikuwa nampinga Magufuli ila kwa Tanesco alimaliza ukiritimba mwingi sana na ufisadi mkubwa wa hela za maskini
 
Sawa we msaport tu Mwizi utaelewa badae Maana hauna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…