Waziri Makamba: Ujenzi wa tuta kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
makamba.jpg

Waziri wa nishati mh January Makamba ametoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere bungeni kuwa pamoja na kwamba ujenzi wa tuta lenye urefu wa mita 190 umekamilika lakini bado hawataweza kuanza kujaza maji tarehe 15 /11 /2021 kama ilivyokuwa imeahidiwa kutokana na kuchelewa kufika kwa crane itakayotumika kubeba vyuma vya kuziba handaki lililotumika kuchepusha maji ya mto huo.

Makamba amesema kufanikiwa kwa mradi huo ni mafanikio kwa watanzania wote hivyo kauli za kubeza ,kuzodoa zinazotolewa na baadhi ya watu ziachwe mara moja kwa sababu kukwama kwa mradi huo hakutamsaidia mtu yoyote.

Pia soma

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
MmmView attachment 2008199
Screenshot_2021-11-12-11-24-42-38.jpg
 
yaqni ctane zimejaa nchini wameshindwa kwenda kukodi?je kwa condotion ya mkataba kwanini kandarasi asipigwe penati
 
Inauma sana.

Pale bandarini kuna crane kibao zenye kubeba tani 26
 
Huku mgao macho yote yapo hapo.
Tuambie tukukodishie creni
 
Alistar group pale tabata tot Wana crane za kuinua vitu kushinda uzito huo

Tumeshindwa kwenda kukodi

Waseme tu kuwa wanahujumu mradi ili yao yaende

"""KWELI NGUVU YA MAMBA KUMAI NJE YA ULINGO FEBRUARI ALIKUWA JINGA TU KAINGIA MAJINI ANATUSUMBUA"""
 
Mwambie huyo
 
Back
Top Bottom