Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

Kalemani alikuwa mbobevu wa Sheria katika Nishati na Madini, yule Mkurugenzi wake wa Tanesco alikuwa mbobevu wa Electronic Engineering.

Sasahivi tuna mtu wa IT na yule muuza madishi ya DSTV ambae alimchagua yeye mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi ulianguka mwa takwimu zipi? Word bank walitoa takwimu ya kupanda kwa uchumi, na serikali iliyopita uchumi wetu uliingia 'middle economy '

Mwanzo walisema umeme unakatika sababu ya ukame, mvua zikanyesha, akasema kutakua na 'scheduled maintenance ' ndani ya siku 10. Zikaisha siku kumi, na umeme bado unasumbua. Saiz wanasema maintenance itachukua 2 yrs. Kifupi ni siasa tu, wizara inababaisha.
 
Sasa hapo umetoka kwenye hoja umeanza matusi. Matusi nayajua sana,ila mimi sio kama wewe, najiheshimu. Napenda ninachokiweka humu mwingine akikipitia apate kitu. Ukishindwa hoja usilamishe wakuamini unachotaka kwa matusi.
Hawa watoto ndio hupewa posho za 10000 kwa siku kuja kulisha watu uongo, mfuatilie vizuri masaa 24 yupo humu, kwa kuongea pumba na mashudu. We pita kimya kimya acha wabaki wapumbavu.
 
Kama WB walitoa Takwimu za kupanda Kwa Uchumi ilikuaje ikatungwa sheria ya kuzuia kutoa Takwimu?

Kwani wewe hujui kwamba mwendazake alikuwa anapika Takwimu baada ya Hali kuwa mbaya?

Ndio maana sasa licha kupika Takwimu,Tanesco walionyesha mwenendo wa demand ya umeme ulionyesha kushuka sana so hata ukidanganya upande wa pili utaumbuka kwingine.

Takwimu zote zinaonyesha uchumi kushuka kuanzia kuporomoka kwa uwekezaji,kushuka kwa mahitaji ya umeme na kupora wafanyabiashara pesa,kubambikia matajiri Kodi na vitambulisho vya machinga.

Muulize Makamba ndio alitoa Chati ya mahitaji ya umeme miaka yote 6 iliyopita na Mwaka 2020/2021.

Mwisho nitafutie Takwimu na rekodi kama hii hapa kwenye mwaka wowote wa Mwendazake 👇

 
Mtambo Gani Huo haukufanyiwa Kazi ya matengenezo lakini unafanya kazi??
 
Mi naona anatulia timing tu arudishe "Service Charge"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtambo Gani Huo haukufanyiwa Kazi ya matengenezo lakini unafanya kazi??
Kwani tairi ikichoka na kupata pancha huwa hiazibwi na kuendelea kufanya Kazi?

Je inaondoa ukweli kwamba imechoka na inatakiwa kubadirishwa kwa sababu iko prone na puncha?
 
Na ndicho kaongea hata kama inauma,Miaka 6 iliyopita licha ya uchumi kushuka lakini Tanesco haiku repair mitambo ikawa busy na Bwawa la Nyerere matokeo yake uchumi ulivyofunguka demand ya umeme imeongezeka na mitambo imezidiwa.
Ghafla mitambo imezidiwa ndani ya miezi 5 ya Makamba?
 
2016 JK ndio alikua madarakani? Pombe gani za asubuh hizi?
 
2016 JK ndio alikua madarakani? Pombe gani za asubuh hizi?
Mwaka 2015/2016 hapo nimeongea kwa sababu amepokea Nchi ikiwa vizuri akaharibu 🤣🤣🤣.

Akabakia kulisha watu propaganda,saizi tunaenda na Takwimu,nyie si mlikuwa mnadanganya wajinga wenzenu saizi tunawachana live.
 
Hawa watoto ndio hupewa posho za 10000 kwa siku kuja kulisha watu uongo, mfuatilie vizuri masaa 24 yupo humu, kwa kuongea pumba na mashudu. We pita kimya kimya acha wabaki wapumbavu.
Asante sana mkuu. Umenifungua
 
Pamoja na mipango mibovu ya awali amesema pesa za matengenezo zinazohitajika ni til.4 na wamepata bil.400 tuu ndio msingi wa kwamba haijulikani umeme utaacha lini kukatika.

Kwa hiyo wewe unadhani shida ni nini kama.sio pesa za kufanyia matengenezo?

4 triliion anataka kuanzisha tenesco mpya au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…