Waziri Manyanya: CHADEMA ni waoga sana unapofika wakati wa kufanya maamuzi magumu bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia.

Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo hawamsumbui kwa lolote na wao wa CCM na vyama rafiki wanamuunga mkono kwa 100%

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama
 
Kabla ya kufatiria tatizo la sukari anahangaika na chadema sema sisi watanzania ni mapopoma sana huyu alitakiwa awe ameachia madaraka kwa kushindwa na sukari...nchi hii ina matatizo mengi sana ila kila kiongozi anahangaika na chadema inashangaza sana ndo maana hatuendelei...[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapambana na upinzani kama kwamba mnapambana na magaidi, eti kisa mnaogopa upinzani kuchukua madaraka, mnajua wakichukua ndio mtapotea milele yaani itabaki historia.

Mnawafanyia upinzani mambo ya ajabu na matokeo ya kipuuzi kila kukicha mkitumia vikosi nk, but iko day mtapotezwa na mtapotezwa maana hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Chadema inawakosesha amani ma ccm bunge sasa limekuwa kama kijiwe cha kahawa zile kashkash hazipo.
 
Reactions: BAK
Vyama rafiki...

Ni kama Simba iseme Mtibwa ni timu rafiki..?

Tungo tata.
 
Ile kesi ya mwanachama wetu Wema Sepetu iliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu mwingine
 
Mckilize huyu bwashee
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…