Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Majeshi yote yana la . Jwtz ni jeshi la wananchi wa Tanzania. Mshaanza kulipa ukubwa jwtzRoving Journalist unaporipoti habari zingatia kichwa cha habari. Kuna Jeshi na jeshi la...
Usichokijua wewe ni kwamba ile force unayoiona kwenye jina ni mamlaka ya kiutendaji yenye mipaka sio jina la chombo na kwa tafsiri ya kiswahili yenye kasoro ndio inatafsiriwa kama jeshi lakini wala sio chombo na haitakiwi kutamkwa "jeshi" tu bila kusema "jeshi la" hata kama tafsiri yake sio sahihi kwa sababu force sio chombo kama heading inavyomaanisha.Majeshi yote yana la . Jwtz ni jeshi la wananchi wa Tanzania. Mshaanza kulipa ukubwa jwtz
Sawa jeshiNImekuja mbio nikijua ni JWTZ kumbe ni hawa walinda wahalifu wa ndani? Acha mambo yako hao walinda wahalifu sio Jeshi
Sahihi kabisa. Heading ina makosa. Neno Jeshi likiandikwa lenyewe moja kwa moja humaanisha Jeshi au Military kwa kiingereza na kwa Tanzania ni JWTZ.NImekuja mbio nikijua ni JWTZ kumbe ni hawa walinda wahalifu wa ndani? Acha mambo yako hao walinda wahalifu sio Jeshi