Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo tarehe 30/5/2024 wamewasili Mkoani Mara kuelekea Wilaya ya Tarime kwenye mgogoro Kati ya Wananchi na Wamiliki wa Mgodi wa North Mara.
Pia soma
============ =============
Pia soma
- Nyamongo Kuna Shida gani na Wawekezaji wa Mgodi wa North Mara Kiasi kwamba Vurugu Zinazokatisha Maisha ya Watu Hazikomi?
- Ufisadi mkubwa kwenye mchakato wa kuwalipa fidia wananchi wanaozunguka mgodi wa North Mara
- Mfanyakazi wa Mgodi wa North Mara adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi
============ =============