Waziri Masauni na Waziri Mavunde wawasili Mara kwa ajili ya mgogoro Kati ya Wananchi na Wamiliki wa Mgodi wa North Mara

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo tarehe 30/5/2024 wamewasili Mkoani Mara kuelekea Wilaya ya Tarime kwenye mgogoro Kati ya Wananchi na Wamiliki wa Mgodi wa North Mara.



Pia soma


============ =============

Your browser is not able to display this video.
 
Tukitaka kuwa wakweli wananchi ndio tatizo na tegesha zao pamoja na kuvamia mgodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…