Waziri Mbarawa: Treni ya SGR imeingiza mapato ya takriban Tsh. Bilioni 16 ndani ya miezi minne


Hongera zao sana. Matumizi nayo yakoje? Maana kuna tabia ya kusema kiachoingia bila kutuambia matumzi. Baadae CAG anatanga hasara. Siasa zina raha sana Africa
 
4 billion kwa mwezi
133 million kwa siku

Tunaomba mchanganuo, tafadhali ili wenye hesabu zao tujiridhishe.
 
Ni sawa sawa na bilioni 4 kwa mwezi au bilioni 1 kwa wiki. IPP inaingiza fedha nyingi zaidi ya hizi kwa kuuza maji na soda. Bado hatujaweza tubinafsishe mapema miundombinu hii la sivyo itatufia!
 
Mradi mpaka kufika Dodoma imetumika kiasi gani ili tujue itatuchukua miaka mingapi ku break even?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…