Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia utoaji wa asilimia 10 ya mikopo ya halmashauri ili kusiwepo na vikundi hewa na kusema wilaya na mikoa itakayogunduliwa kuwepo kwa vikundi hewa watawajibishwa
“Fedha za mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ni za moto na kiongozi wa mkoa, wilaya na halmashauri atakayebainika eneo lake kuwa na kikundi hewa atawajibishwa”
“Fedha za mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ni za moto na kiongozi wa mkoa, wilaya na halmashauri atakayebainika eneo lake kuwa na kikundi hewa atawajibishwa”