ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Waziri Mchengerwa ni kiongozi ulijibebea sifa nyingi kutokana na utendaji wako
Hivyo Kwa tu wa chini yako kuharibu mchakato huu muhimu Kwa maendelea ya vijiji na Miata ni busara achia ngazi.
Mchakato umegubikwa na upuuzi ufuatao
1. Kuandikisha watoto chini ya umri wa 18
Watoto wa kigamboni walilalamika kujishangaa kujiaona wameandikwa kwenye majina ya wapiga kura ilihali Bado wako darasa la 7 na wengine form 2
Nina Imani hizi taarifa uliziona lakini hukuja Kwa umma kutwambia ulichukua hatua Gani
2. Kuandikisha watu wasiokuwepo
3. Waandikishaji kutokuwepo baadhi ya vituo
4.vituo kuwa kwenye majengo ya CCM
5.waandikishaji kupewa idadi ya kuandika
Mfano Kuna Halmashari ziliahiza kila mwandikishaji aje na watu 750
6. Watendaji wa mtaa/ vijiji kukimbia ofisi siku za kurejesha na kuchukua form Kwa wagombea
7 vituko vinavikuja ni kwenye kuhuesabu, hujuma na wizi wa kura
Sisi kama wana CCM tunataka uchaguzi huru na haki. Wagombea wetu wapate ushindani, tupate changamoto nzuri, sio tubebwe tu.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa afafanua kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27,
Nakuomba Waziri Mchengerwa Fanya uamzi makini achia ofisi za umma, Sio mpaka Rais wetu akutumbue