Waziri Mchengerwa: Mungu akubariki, umeona ugonjwa ulioko moshi Manispaa, RC na DED wasipoondolewa unayoyasema ni sawa na bure!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Your browser is not able to display this video.
Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo la kudumu.

Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga .

Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa.

Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama... Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

Ni mpigaji mkubwa wa fedha za umma,asikudangange na ukusanyaji wa mapato!

Anachokikusanya,huwa kipo kwenye makaratasi, ila fedha alishazichukua mapema
 

Attachments

  • d090ba3c7e5fc81edf99cc3586496b03_1789282731652.mp4
    18.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…