upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Ukipata nafasi ya kazi, ukatumwa kazi nenda ukaifanye usiku na mchana, Watanzania wanawategemea ninyi kwa sababu sehemu kubwa ya nchi yetu iko chini ya TAMISEMI’
Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua mafunzo ya kukabiliana na msongo wa mawazo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI.
Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua mafunzo ya kukabiliana na msongo wa mawazo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI.