Kwani hao kina malkia wanaongea lugha ngapi?
Kwani hao kina malkia wanaongea lugha ngapi?
Kiswahili ndo lugha ya Taifa, ila Kiingereza na Kiswahili zote ni lugha rasmi Tanzania.nami niliona pia, angefanya kwa Kiswahili ingeeleweka zaidi! ...lakini, hivi wengi wetu tunajua kuwa Kingereza ndiyo lugha ya taifa hili (official language)?
nami niliona pia, angefanya kwa Kiswahili ingeeleweka zaidi! ...lakini, hivi wengi wetu tunajua kuwa Kingereza ndiyo lugha ya taifa hili (official language)?
Kwa wale walioangalia maadhimisho ya miaka 50 ya Utumishi wa umma mtakubaliana na mimi mh. waziri wa wizara hiyo lugha gongana. Mimi niliyekuwa namsikiliza hadi niliona aibu jinsi alivyotuaibisha tena mbele ya wenye lugha yao. Na hapo alikuwa akisoma kwenye makaratasi. Angekuwa anazungumza moja kwa moja sijui ingekuwaje. Ni bora angeongea katika lugha anayoijua. Yaani ilikuwa balaa.
Malkia na senior members wengi wa royal family wanaongea english, french & german.
Kwenye hii ya waziri Ghasia, kwangu mimi shida si kuongea kiingereza, ila ni kung'ang'ania kuongea kiingereza huku mambo ni upside down. Kwa nini asiongee kiswahili na wakatela mkalimani? au aanza darasa hapo British council.
Huyo ni Ghasia, hujabahatika kumsikiliza Lukuvi....utajuta kumsikiiza
Makamba je?
Kwa nini viongozi wetu hawaenzi lugha yao? Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani, Uholanzi, Sweden, Norway, etc wanatumia lugha zao! Nenda Japan, Korea, Misri, Ethiopia,UAE etc wote wanatumia lugha zao!! Hata Rwanda, japo wanazungumza Kifaransa matumizi makubwa ni Kinyarwanda....sijui sis tatizo letu ni nini!!
Huyo ni Ghasia, hujabahatika kumsikiliza Lukuvi....utajuta kumsikiiza
Mkuu kuna sehemu Lukuvi amewahi kunena kwa kidhungu?