DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amezielekeza Taasisi zote nchini kutenga Fedha katika Bajeti zao kwaajili ya kulipa fidia kabla ya kuanza zoezi la utoaji wa Ardhi kama inavyoelekezwa katika Waraka wa Uthamini wa Fidia namba moja wa Mwaka 2024
-
Kauli ya Waziri Mkuu inakuja wakati ambao kumekuwa na malalamiko ya Wadau mbalimbali wa JamiiForums.com ambao ardhi zao zilichukuliwa kwaajili ya kutumika katika ujenzi wa Miradi mbalimbali lakini wamekuwa wakicheleweshewa malipo ya Fidia
View attachment 3028339