Waziri Mkuu aainisha utoaji taarifa rasmi za coronavirus

Yeye atangaze bei ya sanitizer shilling ngapi huku mitaani ni kulanguana inasikitisha sana.
 
Wenzetu huko marais wao ndio wako front line katika kuzungumza na wananchi wao mara kwa mara kuhusu janga hili na juhudi wanazofanya kukabiliana nalo.

Ummy alishindwa kuwajibika/kuwajibishwa kwenye issue ya matibabu ya Lissu, karma inakuja kuchukua nafasi yake.

Rais pia inabidi awajibike for once kwa usalama na ulinzi wa wananchi wa Tanzania!
 
March 21, 2020

Dokta bingwa Mohamed Janabi : CORONA: "Kuvaa Maski WATU WACHACHE HAKUSAIDII, AHIRISHA KILA KITU, Ni HATARI mara 10!"
 
Hata baba ama mama anaweza akaitoa taarifa ya familia yake public ikaelewa.

Kimsingi with thie era kuthibiti taarifa inakuwa ngumu,zaidi tusisitize taarifa ziwe sahihi. Lakini sio hadi bwana x aseme ndiyo ziwe sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serekali ya CCM wao ni mikwala tu kila siku, Raisi mikwala, Mkuu wa mkoa mkiwala, Polisi mikwala, Waziri mikwala, mpaka viongozi wa serekal za mitaa na wao haweshi kutoa mikwala. Dah!
Imefika hatua mpaka raia kuambiwa kwa lugha za mikwala wanahisi ni jambo la kawaida tu.
 
Kuhusu taarifa za corona umeshaambiwa hakuna cha mkuu wa mkoa wala wilaya, msemaji ni Waziri wa Afya au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais mwenyewe.
Mkuu,mwambie P.Mayalla ambae naye kwa sasa anataka kujipa cheo cha Naibu msemaji Mkuu wa Serikali.
 
Afadhari maana tunalishwa sana matango pori, mara Temeke imefurika wagonjwa, maraKambi nyingine imefunguliwa Ilala, mara Mnoganzila haturuhusiwi waswahili ni foreigners tu, mara Korona sawa na mararia tu, ili mradi mtandaoni kila mtu anaongea lake
 

Je kuna kifo chochote kilichotokea kinachohusiana na Corona au hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…