Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
well done Dr Mwigulu Nchemba PM of Tanzania.WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA MAKAMBI YA WAADVENTISTA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameshiriki Ibada Kuu na Kufunga Mkutano wa Makambi ya Kanisa la Waadventista Sabato, yaliyofanyika kwa siku saba, Kinyerezi jijini Dar es Salaam
Akizungumza na waumini wa kanisa hilo Dkt. Mwigulu amewasihi waumini wa kanisa hilo kuendelea kudumisha amani na kusimamia maadili ya watoto huku akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kulinda uhuru wa wananchi kuabudu kwa kadri ya imani zao.
WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA MAKAMBI YA WAADVENTISTA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameshiriki Ibada Kuu na Kufunga Mkutano wa Makambi ya Kanisa la Waadventista Sabato, yaliyofanyika kwa siku saba, Kinyerezi jijini Dar es Salaam
Akizungumza na waumini wa kanisa hilo Dkt. Mwigulu amewasihi waumini wa kanisa hilo kuendelea kudumisha amani na kusimamia maadili ya watoto huku akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kulinda uhuru wa wananchi kuabudu kwa kadri ya imani zao.
Kwa heri Usabato. Msitudanganye tuliolelewa kwenye Imani hii ya Kiadventista. Hakuna Ibada inaendeshwa na "Mtu wa mataifa" Katika Kanisa la Mungu ikabarikiwa. Viongozi wa kisabato mmekuwa Wasanii na mliokubali kuuza utu wenu Kwa vipande 30.WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA MAKAMBI YA WAADVENTISTA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) ameshiriki Ibada Kuu na Kufunga Mkutano wa Makambi ya Kanisa la Waadventista Sabato, yaliyofanyika kwa siku saba, Kinyerezi jijini Dar es Salaam
Akizungumza na waumini wa kanisa hilo Dkt. Mwigulu amewasihi waumini wa kanisa hilo kuendelea kudumisha amani na kusimamia maadili ya watoto huku akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kulinda uhuru wa wananchi kuabudu kwa kadri ya imani zao.
Niliacha Usabato wakati walipo Mkalibisha Mrisho Gambo kupiga kampen kanisani pale Arusha 2020, kanisa la Bulka, wakati anagombe Ubunge na Lema, baada ya hapo sikuwahi kanyaga kanisani tena, Wasabati ni dhehebu ka wapumbavuWasabato WAMEASI sikuhizi. Sio wale wasabato unaowajua. Sikuhizi wamefungamana na dunia na wamekuwa chawa promax. Malekana ameharibu kanisa lao.