Waziri mkuu akagua maandalizi ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru, Rukwa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911


Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru yanayotarajiwa kufanyika mkoani humo kesho, tarehe 14 Oktoba, 2026.

Mgeni Rasmi katika hafla ya kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.
 
Mambo yenu ya kichawiuchawi tu, na makafara ya damu za watu
 
Nchi inasonga mbele
 
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π—”π—žπ—”π—šπ—¨π—” π— π—”π—”π—‘π——π—”π—Ÿπ—œπ—­π—œ 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—Ÿπ—˜π—Ÿπ—˜ 𝗖𝗛𝗔 π— π—•π—œπ—’ 𝗭𝗔 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—šπ—˜ π—ͺ𝗔 𝗨𝗛𝗨π—₯𝗨, π—₯π—¨π—žπ—ͺ𝗔

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 13 Oktoba, 2026, amewasili Sumbawanga, mkoani Rukwa, na kukagua maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru yanayotarajiwa kufanyika mkoani humo kesho, tarehe 14 Oktoba, 2026.

Mgeni Rasmi katika hafla ya kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.
 

Attachments

  • IMG-20261013-WA0076.jpg
    603.5 KB · Views: 9
  • IMG-20261013-WA0082.jpg
    704.8 KB · Views: 9
  • IMG-20261013-WA0087.jpg
    533.2 KB · Views: 7
  • IMG-20261013-WA0094.jpg
    444.7 KB · Views: 6
  • IMG-20261013-WA0092.jpg
    474.1 KB · Views: 9
  • IMG-20261013-WA0090.jpg
    553.9 KB · Views: 9
  • IMG-20261013-WA0089.jpg
    573.4 KB · Views: 8
  • IMG-20261013-WA0081.jpg
    596 KB · Views: 10
  • IMG-20261013-WA0085.jpg
    749.2 KB · Views: 12
  • IMG-20261013-WA0078.jpg
    688.3 KB · Views: 9
  • VID-20261013-WA0145.mp4
    27.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…