Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa Wizara ya Madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa Tanzanite

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite.

Ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha pamoja Cha Tanzanite Magufuli (Magufuli Tanzanite One Stop Center) kilichopo Mirerani Mkoani Manyara.

Majaliwa amesema kuwa kurekebishwa kwa kanuni ya biashara ya madini ya Tanzanite itasaidia kujenga heshima ya nchi kupitia eneo la Mirerani ambalo linazalisha madini hayo.

Hata hivyo ametoa miezi mitatu kwa wachakataji, wauzaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini kufanya mpango wa kujipatia maeneo nakujenga ofisi zao eneo la Mgodi huo kama sehemu ya kuitangaza nchi kwa mataifa mengine.
 
Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa Tanzanite. Ni kanuni zipi hizo?
 
Tangu July 11 siku saba zake za ripoti ya chanzo cha moto sokoni Kariakoo zimekatika hii ni wiki ya tatu sasa lakini kauchuna kimyaaaa!!!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite.

Ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha pamoja Cha Tanzanite Magufuli (Magufuli Tanzanite One Stop Center) kilichopo Mirerani Mkoani Manyara.

Majaliwa amesema kuwa kurekebishwa kwa kanuni ya biashara ya madini ya Tanzanite itasaidia kujenga heshima ya nchi kupitia eneo la Mirerani ambalo linazalisha madini hayo.

Hata hivyo ametoa miezi mitatu kwa wachakataji, wauzaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini kufanya mpango wa kujipatia maeneo nakujenga ofisi zao eneo la Mgodi huo kama sehemu ya kuitangaza nchi kwa mataifa mengine.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite.
Hapa pm ameshindwa tu kusema zifutwe amri na taratibu zote zilizoanzishwa na mwendazake kwenye tanzanite. Kiukweli tanzanite imedoda.
 
Toka july 8 siku 15 bado tu? Hata tume ya moto kkoo nayo kimya.ujingaujinga tu
 
Back
Top Bottom