johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi Majaliwa ni mbunge aliyechaguliwa na nani? Ni mwananchi gani alimpigia kura?Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.
Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Leo umeamka na Akili zako zote kabisa.Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.
Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Chadema pambaneni
Bwashee na wewe bana! Ni sawa na kutaka kusema, "Wewe ni Mkristo na umebatizwa na mchungaji wako, wenye dhamana ya kukuambia uache dhambi ni mchungaji wako, mke wako na familia yako, ex wa mkeo hapaswi kufanya hivyo"Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.
Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Alichaguliwa kwenye kura za Maoni CCM na alipokuja huku Nje Wapinzani walimgwaya!Hivi Majaliwa ni mbunge aliyechaguliwa na nani? Ni mwananchi gani alimpigia kura?
Leo umeamka na Akili zako zote kabisa.
Ubarikiwe.
AminaLeo umeamka na Akili zako zote kabisa.
Ubarikiwe.
Na hao uliowapa mamlaka haujui kwamba ni sehemu ya umma wa Watanzania na ndiyo wenye mamlaka zaidi?Unayakumbuka ya Mizengwe Pindo na Subeir Kabwen bungeni kuhusu utiaji wa saini?Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.
Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.
Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.
Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.
Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Unamdanganya.Leo umeamka na Akili zako zote kabisa.
Ubarikiwe.
Alichaguliwa kwenye kura za Maoni CCM na alipokuja huku Nje Wapinzani walimgwaya!
Unataka kuchuma dhambi kwa nguvu. Kwani hujui imeandikwa USISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE.Alichaguliwa kwenye kura za Maoni CCM na alipokuja huku Nje Wapinzani walimgwaya!
Zile alizokuwa anasainisha Joshua Nassari?Na hao uliowapa mamlaka haujui kwamba ni sehemu ya umma wa Watanzania na ndiyo wenye mamlaka zaidi?Unayakumbuka ya Mizengwe Pindo na Subeir Kabwen bungeni kuhusu utiaji wa saini?